Ndugu sio Hujuma,hao itakua wameenda na vijana wageni kwa safari za Goma,kwa kawaida tulishakatazwa na wenyeji tuaioge kwenye hilo ziwa,mgeni akiingia tu kwenye hayo maji akitoka ni maiti
Poleni sana,Ina maana madereva wote waliokua hapo ni wageni wa safari za Goma?,Si tulishakatazwa wageni wasioge kwenye hilo ziwa,mbona waTanzania hatuelewi na kutii miiko ya nchi za watu?!.WAAMBIENI WOTE WLIOPO HAPO,WAGENI HAWARUHUSIWI KUOGA KWENYE HILO ZIWA WALA KUCHEZEA MAJI YA ZIWA KIVU.
Utakua umeelewa vibaya,huku Congo DRC hizo taa za kuongoza magari kama ndizo wanaziita ROBOT,
Mm waliwahi kunikamata mwaka jana ndipo nilipojua kua hizo ndio wanaziita.
Ni kweli ndugu ila hapa Lubumbashi hakuna Ofisi ya Ubalozi ni hadi Kinshasa,pia sio wasikivu,kwa kua ni mara kadhaa watu wamekua wakitoa malalamiko kwao ila hakuna chochote wanachokifanya.
Na inashangaza ofisi ya Ubalozi iko Kinshasa ambapo ni mbali sana kuliko kutoka Dar hadi Lubumbashi,na...
Ni kweli maboss wanachangia hasa pale tunapokaa sana huku kutokana na wao kutokua na mikataba na wateja wao,Pia hawa viongozi wa Congo wamekaa kimya sana kukemea haya matukio maana yanatokea mara kwa mara.
Ni siku ya sita sasa tangu j3 ya wiki hii ambapo tulitakiwa kuanza safari ya kutoka Lubumbashi Katanga DRC kuelekea Tanzania,ila tulizuiliwa kwa amri kutoka kwa ofisi ya Gavana kutokana na msururu mrefu wa magari uliosababishwa na askari wa Congo aliempiga risasi dereva wa KiZambia akafa akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.