Tunapojadili issues za maana na wengine wanaleta masuala ya kitoto ni upuuzi mkubwa,Tunajadili kivipi muuaji wa kukusudia kapewa dhamana sasa wewe unasema Kikwete ni mdini ,Kama huna cha kuchangia piga kimya Tuache utoto kwenye kwenye isssue serious.
Ni kweli kaka nduka chama cha mjomba na shangazi wangefanya maamuzi magumu kama wenyewe wanavyoyaita.
Maamuzi magumu wakati wa kukaribia election ndani ya chama.Mwenyekiti anasema siachii kiti mpaka nione mtu anayefaa kweli kuna demokrasia hapo.
Isishosue sio Habari imeandikwa na nani,ila je ni kweli Mtei kasema hayo?Ilo ndilo swali la maaana ,Kwanza someni habari kwa undani muilewe ndio swala la Muandishi ni chama gani lifuatie.Bravo zittooooooo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.