Tengeneza Kwanza sample ndo utafute vibali, watu WA kutengeneza umeme specific wapo, kuna kipindi walijitokeza kwa umeme WA upepo sasa wewe ni umeme WA nini? Jipambanue Kwanza hapo utoe product yako.
Kuna muda inabidi serikali ichukue hatua za ziada kuhudumia jamii kwa lazima, usipowahudumia jamii iliyosema yenyewe vitu vizuri hapana utajikuta kila uchaguzi ajenda zinajirudia zilezile na mbele watu hawasogei, ajenda ya kuwapa watu vitu ndo ipo kwenye teknologia, maana ukisubiri kwamba...
Phisical ndo kasumba ya Mtanzania, hata umeme offer ya bure itolewe kwanza wengi au wote wapate, vitu vizuri wengi hawapendi viwepo ndo maana ukisubiri watajinunulia kamwe hawawezi kujinunulia, kila kata inawatu lakini huduma za msingi hazipo, huduma zinatumika na watu na haohao watu inabidi...
Pole Sana, kuna system itakuwa haipo Sawa, pia nilipatwa na tatizo Hilo kwenye simu, hela unapotea tu lakini nilipofatilia inaonyesha ni mimi mwenyewe natoa wakati siyo hivyo, kuna system itakuwa inajivuruga.
Dawa ya magonjwa sugu, tafuta manemane ipo kama ubani loweka kwenye maji kunywa kwaajili ya kuondoa maradhi, kuondoa vifungo vyovyote, choma manemane uvute Moshi wake kadili uwezavyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.