Recent content by controler

  1. controler

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

    Yaani Jamaa Kafa Aisee. Imagine. Daah. Kama Utani Yaani Ila Kafa saa Hivi wadudu wanashambulia Hatari. Mambo ya Kusimamisha sina Uhakikà sina Ila Kufa Jamaa Kafa na Nilienda Kirumba Kumshangaa.
  2. controler

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

    Yaani Lijamaa Lako Ulilolipigania Limekufa Yaan. Limashatangulia wherever it is that they tanguliaring
  3. controler

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

    Mavi Mengi uliyoqndika Hapa Hayafai Hata Kutumika Kama Mbolea.
  4. controler

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

    Wale Wote Aliowatukana Atuombe kwanza Radhi Kabla Ya Kutuomba Kura. Huwezi tukana Makanisa Yote na Misikiti Na wote waendao Humo alafu ghafla Uje Kuwaomba Kura Bila Kuomba Radhi. Alafu Huyu si Ndio Alikuwa Anatengeneza Makundi Ya Interahamwe ya Wasukuma Huyu? Na wewe Ulikuwa recruited?
  5. controler

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

    Kwenye Kura Za Maoni Alishinda? Au Atashindishwa unamaanisha?
  6. controler

    JamiiForums Tanzania GE2020 Joachim Marunda Kimaryo (maarufu kama Master J) atangaza nia ya kugombea ubunge Rombo

    Silvan Joachim Kimario Nate alikuwa Zulmat?
  7. controler

    JamiiForums Tanzania Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

    Kwa sababu mkicheza Wawili mnaojua Always Mtaishia Draw
  8. controler

    JamiiForums Tanzania Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

    Kama Draft Ni Hilo La Row tatu column Nne wanaojua Siku zote Litaishia Draw. Kama Kuna Anayefungwa maana Yake Hajui. Nimemaliza
  9. controler

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    If wishes were horses
  10. controler

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Rais Magufuli amechanganyikiwa, hotuba yake imejaa uongo na upotoshaji!

    Sio Suluhisho. Kwanza ugonjwa Wenyewe haupo maabara Zinapika Data Kushirikiana Na Mabeberu
  11. controler

    JamiiForums Tanzania Kuwakemea Viongozi wa Dini, Magufuli Ameweka Rekodi Mpya

    SADIST.
  12. controler

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Rombo: Viongozi wenzangu wa CHADEMA wamenitenga

    Wewe ni CDM? Yaani Kugongwa Agongwe Mwajuma Bunju Kizimi kikusimame wewe chausiku Mbagala?
  13. controler

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Rombo: Viongozi wenzangu wa CHADEMA wamenitenga

    Huyu Selasini ni msukuma wa Chato au?
Back
Top Bottom