Recent content by continent

  1. C

    JamiiForums Tanzania Gambo, kama ni mkusanyiko usio halali mbona wafiwa umewaacha?

    Hawa wakuu wamikoa hawana faida Kama vipi walipwe na chama wajulikane tu viongozi WA chama sio wanakula pesa za wananchi kizembezembe Tu huku wakitekeleza matakwa ya chama upuuzi huu wakujiona wako juu ya sheria
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli, basi comrade Kinana amepuuzwa!

    Question Mark???????
  3. C

    JamiiForums Tanzania Zijue Sifa na Majukumu ya Mkuu wa Mkoa kisheria hapa Tanzania

    Twafaaaaaaaa mawaziri wa awamu hii bhana wanavojitoa ufaham, ukimuona kairuki as if MWAKYEMBE as if Nchemba, over mizigo
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto amepoteza dira au anaona tusichokiona wengi kwa Magufuli?

    Nilidhani nimeliona pekeyangu kumbe tuko wengi,mpoto ninae mjua me si Yule wa moshi coz mpoto ni wa mashairi ya kufikirika akitunga lazma utumie kichwa kufikiri ndo utamuelewa hapo tu unaweza ukajiongeza kuwa yale c maneno yake ni yakupangiwa chakuimba, pole Sana mjomba kwakupoteza umaarufu wa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Poll ya online ya Gazeti la Raia Mwema yamuweka pabaya Magufuli

    Chefuuuu kila kukicha afadhali ya jana
  6. C

    JamiiForums Tanzania Inspekta aachia Diss kali kwa Roma.. "Unajiita Mkatoliki wakati unasali kwa Gwajima?".

    Chefuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!! Hawa wengine nao wasanii?waende ITV hawavumi lakini wamo ndio saiz yao huku hawakuwezi
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wamezuiwa na chama kuibua mijadala yenye utata kama wa utekaji kulinda chama

    Ndio nikaona kabunge kamoja kame pata ujasiri wa kuongea pumba,sawa walinde chama kuliko maisha ya watu lakini time Will tell Hakuna dhambi itakayo dumu milele
  8. C

    JamiiForums Tanzania Siku za Hussein Bashe ndani ya CCM zinahesabika!

    Nafsi Yake nibora kuliko ccm waache wafunguke bana amesema mnavumilia mengi ndani ya ccm naww siku yakikushinda utafunguka tu kutesa kwa zamu ukweli humuweka mtu huru #free ben
  9. C

    JamiiForums Tanzania Bashe: CCM acheni unafiki, mimi nimeshakamatwa na watu wa usalama. Nipo tayari mniondoe kwenye chama

    Na bado tutaongea lugha moja mda since mrefu najua wengi watavumilia yatawashinda
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya nafasi 2 za CHADEMA Afrika Mashariki

    Wajumbe wawili moja ya tatu itapatikana wapi bhanae cc hao ndo wanafaa kwetu na mbowe baba warudishe haohao nawawakaatae tena waende wenyewe
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya nafasi 2 za CHADEMA Afrika Mashariki

    Ulitaka watoke kaskazini mseme wamechguana kikanda amakweli nzi wakijani hamjielewi
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kuvamiwa kwa Clouds: Kamati ya Nape yamjibu Dk. Mwakyembe

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatengua Hukumu ya Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali

    Pongezi Kwa mh LISSU manana tangu uwe raisi wa tls kesi za kipumbavu zote zinatupiliwa mbali
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kuvamiwa kwa Clouds: Kamati ya Nape yamjibu Dk. Mwakyembe

    Mwakyembe ametanguliza njaa kuliko heshima Yake
Back
Top Bottom