Recent content by contej

  1. contej

    Nahitaji binti wa kuuza grocery Mabibo, Dar es Salaam

    Anaishi kwako au Sent using Jamii Forums mobile app
  2. contej

    Nafasi ya kazi

    Anahitajika kijana wa kupika chips Mkoani Kagera' sifa mwaminifu, umri usizidi miaka 20 msafi na ajitume hatakama hajui kupika atafundishwa awe na Elimu ya drsa la 7 au kidato cha nne
  3. contej

    Chuo cha urembo Mwanza

    Anatoa cheti kwa Maelezo zaid ni PM
  4. contej

    Chuo cha urembo Mwanza

    Ni Nifo beauty College kipo mwanza kwa Flora lauwo aka flora show and production mm pia naenda pale
  5. contej

    Je,hiz application via NACTE zenye deadline 06/03/2017 ni za kweli??

    Mwisho wa kujiandikisha kureseat ni mwezi wa ngapi???
  6. contej

    Kurudia mtihani wa kidato cha nne

    Naomba Msaada wa kituo kizuri cha kurudia mtihani wa kidato cha NNE au Shule nzuri kwa ajiri ya tuition ya resters Mkoa wa Kagera maeneo ya Muleba au Bukoba
  7. contej

    Matapeli wa kazi

    Ndugu mnaoomba kazi kuweni makni kuna baadhi ya watu humu hmu ndani wanadai wanakazi lakn ukfka baada ya kukupa kazi anakutapeli na kukuibia kila kitu ulichonacho hiyo sio picha nzuri hata kidogo wanajamii jaribuni kuwa wakweli kwa wenzenu wanaotafuta sio maana mtu anayetafuta anamatarajio ya...
  8. contej

    Natafuta kazi ya saloon

    Unaweza kwenda mkoani???
  9. contej

    Natafuta kazi,

    Mwenye kazi antafte kwa 0766 860749
  10. contej

    Natafuta kazi,

    Habarini wana jamii, Mmi naitwa Ferista naishi kimala natafuta kazi ya stationary,/costomer care/secretary ninauzoefu wa miaka 2
Back
Top Bottom