Kama ulikuwa unaandika notes tafuta kituo chochote tu kwa ajil ya kufanyia mtihani soma notes zako mwaka mzima utatusua tu maana kituo kizur au kibaya vyote wanatoka waliofeli na waliofauru ni commitment yako tu.Naomba Msaada wa kituo kizuri cha kurudia mtihani wa kidato cha NNE au Shule nzuri kwa ajiri ya tuition ya resters Mkoa wa Kagera maeneo ya Muleba au Bukoba
ThanksKama ulikuwa unaandika notes tafuta kituo chochote tu kwa ajil ya kufanyia mtihani soma notes zako mwaka mzima utatusua tu maana kituo kizur au kibaya vyote wanatoka waliofeli na waliofauru ni commitment yako tu.
(Binafsi nilifanya hivyo na kwenye kituo chetu nilitoka peke yangu saivi nipo UDOM).