Recent content by container

  1. container

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    unakuta gari imeandikwa speed180 mayb,wanakuandikia ina produce hp kadhaa na kw kadhaa,hizo ni nin?
  2. container

    Yaliyojiri Mechi ya Yanga vs Kagera Sugar Leo 18/03/2015! VPL

    Dah ni mpira nimekubali matokeo mbona......!
  3. container

    Kweli siri ya ushindi wa Simba dhidi ya Yanga wanayo wachezaji hawa?

    Mengine hayasomeki umeona hilo tu.....!
  4. container

    Kweli siri ya ushindi wa Simba dhidi ya Yanga wanayo wachezaji hawa?

    Jerry muro timu ya dalasa alikua mbeba vifaa,hadi.timu ya dawati la watu 3 alikua anasugua benchi et leo anakua msemaji...........:D
  5. container

    Kweli siri ya ushindi wa Simba dhidi ya Yanga wanayo wachezaji hawa?

    Tatizo lenu mnaingia uwanjani mkijua mmeshashindahamchezi kiteam angalia mlizidiwa mnaanza kutumia mbio tu,msuva kila akidrive ndefu inanaswa....mkaanza kutumia uwezo binafsi
  6. container

    Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

    Nifah anaomba msaada jinsi ya kujoin simba......mpeni utaratibu jamani
  7. container

    Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

    Nifaaaaaa hahaha okwi anafungiwa soka hawezi kufunga goal umbali wote huoo
  8. container

    Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

    Yaaani nkua na ham na ww maana uliongea sana, Haaa mkitufunga me nakpa ofa naamia kwako nalala week nzima (kama mlinz lakin;))
  9. container

    Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

    Et prisons wamechekechwa mara 5 duuuh.........
  10. container

    Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

    Tunawasubiri vibonde wetu wa mtani jembe tuwapige tena :D
  11. container

    Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

    Yanga hapana aisee me hata simba ikifungwa 200 siami,ni mapito tu
  12. container

    Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

    Mic yu more aiseee,unaharib kaz sasa kushanglia yanga......... Simba damu
  13. container

    Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

    Nifah na ww yanga? Kitambo sana uko poa......
  14. container

    Nusu Fainali Mapinduzi Cup: Mtibwa Vs JKU; Mnyama VS Polisi Zanzibar -Live Update

    tunashukuru sana ndugu watangazaji.........simba kazeni buti basi
  15. container

    Kutana na Karen, binti wa Gardner G. Habash

    unataka slope mzee
Back
Top Bottom