Kweli siri ya ushindi wa Simba dhidi ya Yanga wanayo wachezaji hawa?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Bahtez, Kelvin Yondani, Mbuyi Twite, Husein Javu, Dan Mranda, Mrisho Ngasa na Amis Tambwe. Hawa waliichezea timu ya Simba hivo wanafahamika mapungufu yao ndio maana ni rahisi Yanga kufungwa na Simba?
 
Hussein Javu na Twite waliichezea wapi na lini Simba? Wacheni kutapatapa mlizidiwa kimpira .
 
Twite??
Mnatapata tu kitu kishawaingia
Twite alikuwa asajiriwe na Simba ila Yanga akapindua kibao. Mkuu, kwa taarifa yako mie SI mwachama wa timu yoyote hapa ila sasa NASHABIKIA timu ya Azam.
 
We jamaa mchemfu sana..umesema twite alicheza Simba..baada ya kubanwa oooh alikua sajiliwe simba akageuza kibao..kingine hussein javu sidhan km aliisha cheza simba..halafu hiyo assumption uliotoa sio ya kweli..Yanga wamefungwa kwa kutokucheza vizur..na hawakutumia nafas walizopata
 
Mkuu, nilitaraji ungekumbusha na Juma Kaseja ila kwa kuwa umekasirika hata mantiki ya post yangu huitafakari kwa kina. Huu ni mfano tu wa timu moja kuwa na wachezaji zaidi ya watatu toka timu pinzani kwenye mechi hii inaleta hisia tofauti hasa kwa fitina za soka letu.
 
Jerry kacheza mpira kiwango gani
Mkuu, huyu jamaa ni zuzu tu eti analinganisha timu yake na FC Barcelona!!!!!!!!! Nayakumbuka maneno ya Aden Rage kuwa huyu jamaa anafaa sana kuitangaza pombe ya mbege na si masuala ya soka.
 
Mpira una matokeo matatu, kufunga, kufungwa na draw

Tatizo sisi yanga ni nadra sana kupata ushindi na sare kutoka kwa simba. Mara nyingi tunapata matokeo ya aina moja tuu. Kufungwa ona zile tano zikaja tatu zikaja mbili ikaja moja na ile ya juzi tena dah sijui tutakua wageni wa nani sisi jamani
 
Pole sana mkuu
 
Tatizo lenu mnaingia uwanjani mkijua mmeshashindahamchezi kiteam angalia mlizidiwa mnaanza kutumia mbio tu,msuva kila akidrive ndefu inanaswa....mkaanza kutumia uwezo binafsi
 
Jerry muro timu ya dalasa alikua mbeba vifaa,hadi.timu ya dawati la watu 3 alikua anasugua benchi et leo anakua msemaji...........:D
 
Back
Top Bottom