Recent content by Conspiracy theorist

  1. C

    JamiiForums Tanzania PICHA: Jeshi la polisi la Tanzania lina mengi ya kujifunza kupitia picha hii

    Nunda anaweza kujifunza kitu?nunda anaweza kujifunza kwa mapigo tuu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

    Polisi kuingia mbinguni itakua tabu sana,labda mbingu ya Tom and Jerry
  3. C

    JamiiForums Tanzania Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

    Kama makomandoo wa jeshi wanafanyiwa hivi,ni nani anaweza kusema yupo salama dhidi ya hii regime?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Mambo ya nje Marekani yataka Tanzania kuacha kukandamiza Upinzani na viongozi wake

    Huu ni uthibitisho wa kushindwa ab initial kwa juhudi za mama za kufungua nchi,kujenga umoja wa kitaifa, ushirikiano wa kimataifa ile kuunda taifa lililo staarabika
  5. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

    CCM ni balaa tupu,hii mijitu sijui wanaitolea wapi? Huo ndio ufafanuzi kweli?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Makanisa yaliyopo Tanzania yakiamua yanaweza kujenga viwanda

    Kabisa mkuu,mimi ni mdau mkubwa ila kusudi kuu la kanisa siyo kiwanda
  7. C

    JamiiForums Tanzania Makanisa yaliyopo Tanzania yakiamua yanaweza kujenga viwanda

    Kiwanda siyo kusudi kuu la kanisa
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wachaga bado hatujastarabika. Tamaduni zetu zilishapitwa na wakati na ni aibu kwa taifa

    Kweli kabisa,nilishatoa angalizo kua wachagga kuna mengi sana ya kubadilika, na kuendana na wakati huu. Vijana wa kichagga ambao wangetakiwa kuonyesha nuru kwa kizazi hiki wamekua disgrace kwa taifa.
  9. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri Mkutano wa Tundu Lissu jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro

    Lissu ni moto mwingine
  10. C

    JamiiForums Tanzania Je, kanisa la TAG nalo limeunga juhudi?

    Kweli kabisa kanisa la TAG lime jidhalilisha kabisa,limefichua uchi wake
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mkurugenzi Mtendaji wa Delightfulbakes, Jeniffer Tarimo afariki dunia

    Inasikitisha,namfaham huyu mama,chanzo cha kifo ni corona,inasemekana huyu mama alikua anamuuguza mume wake (Mzee Tarimo) ambaye naye alikua anasumbuliwa na corona.
  12. C

    JamiiForums Tanzania UN Happiness Report 2020: Dar es Salaam yashika mkia kwenye orodha ya majiji yenye watu wenye furaha duniani

    Jiji la Dar es salaam limeshika nafasi ya 181 katika majiji 186 duniani kwenye rank za majiji yenye watu wenye furaha. Dar es Salaam imepita majiji ya Juba (Sudan Kusini), Port -au Prince (Haiti),Gaza (Palestine) Sanaa (Yemen) na Kabul (Afghanistan). Furaha ni kitu kikubwa sana kwenye maisha...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Unahisi kwanini Watanzania wengi hawamkubali Rais Magufuli?

    Wengi hawamkubali kwasababu wanaona mambo anayofanya, na wao wana akili
  14. C

    JamiiForums Tanzania CCT, TEC,BAKWATA na TAG Kwa JK Mkifunga Spika ila kwa JPM Mmebugia Gundi

    Hili siyo swala la upinzani,ni swala la Taifa kuharibiwa,ni swala la haki kunyimwa ,ni swala la dhuluma na ukandamizaji kukithiri. Kama viongozi wa dini hawasimami na wamegeuka waimba sifa kwa wadhulumaji wanapoteza kuaminika.
Back
Top Bottom