Recent content by Consolitha

  1. Consolitha

    Nina shida inayonikabili wana jf

    Haaaahaaa asanteeh
  2. Consolitha

    Nina shida inayonikabili wana jf

    Asante sana mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120]
  3. Consolitha

    Nina shida inayonikabili wana jf

    Mshana anautaalamu juu ya haya!?
  4. Consolitha

    Nina shida inayonikabili wana jf

    Ndiyo mam,na nina wiki sasa tangu nimemaliza dozi...
  5. Consolitha

    Nina shida inayonikabili wana jf

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaniii
  6. Consolitha

    Nina shida inayonikabili wana jf

    Nasumbuliwa na endometritis,nimetumia sindano aina ya powercef lkn tangu nilipoanza kutumia sijapata hedhi ya mwezi huu na pia kula yangu ni ya shida sana,nimekuwa mtu wa kuchukia chakula na pia nikila nakula kiasi kidogo sana najihisi nimeshiba au kuhisi kutapika...Naomba ushauri wenu juu ya hili.
  7. Consolitha

    Mm mgeni ninafutaha sana

    Mm nimemwelewa bhana,anamaanisha FURAHA.
  8. Consolitha

    Mm mgeni ninafutaha sana

    Karibu mgeni...
  9. Consolitha

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Sasa kama hujui hata kuendesha baiskeli inakuwaje hapo!?
  10. Consolitha

    Utunzaji wa nywele za asili

    Mayai mangapi!?,na je kama unatumia mafuta ya nazi unaweka kiasi gani?,na kama huna steamer unafanyaje!?
Back
Top Bottom