Recent content by Consolata2000

  1. C

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    Nashukuru sana kwa elimu yako. Imenisaidia sana kuanzisha biashara, Sasa natengeneza sabuni ya maji na kuuza katika shule ya sekondari. Asante sana. Mungu akubariki sana na akujaalie zaidi.Sisi wanawake ndio muda wetu wa kujitambua na kutoka kimaisha. Nawashauri wanawake wenzangu waanze fanya...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Tunashukuru kwa kutusadia elimu hii. Nilikwenda katika shamba darasa lenu. Aisee nie ni noma. Mungu awabariki sana. Nyie hamuogopi kuthubutu. Siku zote wanaoogopa kuthubutu ndio wanabaki nyuma. Siku zote waoga ndio hubaki myuma
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Hebu tuelezee zaidi kuhusu hicho kilimo cha maua
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Hiyo itakuwa rahisi zaidi ya kusoma kwenye kitabu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Ndio nini hiyo mwaya
  6. C

    JamiiForums Tanzania Siri kuu 4 usizozijua wazitumiazo wafanyabiashara wakubwa kuwa juu zaidi ya wajasiriamali

    Mimi mwenyewe siku zote nimekuwa na doubt na hawa watu wanaotangaza biashara zao humu jamii forum. Ila kutokana na maelezo ya huyu mdau niliamua tu niitoe hiyo 15,000 potelea mbali, ila baada ya kukisoma hicho kitabu chake nikaona ni information ambazo ziko tofauti na info mbalimbali zilizoko...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    We acha tu
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    .,,,,,
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Tunashukuru sana
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Mimi nilinunua kitabu chako na kukisoma. Ni kizuri. Kwasasa nimeshajua jinsi ya kutengeneza mkaa ila ningeomba kama unaweza nipa elimu kidogo kuhusu ku manage business kutokana na uzoefu wako. Nataka ni manage huu mradi ntakaoanzisha kwa ufanisi na matokeo mazuri. Niambie nifanyeje niwe manager...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Nilipofikiria kununua kitabu chako nilifikiria je itakuwa vipi kama nikikutumia pesa then ukatokomea nayo? Lakini niliridhishwa na jinsi ulivyonitumia papo kwa papo. Kitabu chako kina elimu tosha sana.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutafuta soko la sabuni za mche

    Mimi niiko Dar maeneo ya makongo juu
  13. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutafuta soko la sabuni za mche

    Habari zenu. Kwasasa ninajishughulisha na mradi wa kutengewneza sabuni za miche za kufulia. Kwa sasa niko ktk process ya kutafuta soko. Je, nipite duka moja moja kuwauzia au niwauzie wenye maduka ya jumla? wenye uzoefu watusaidie tafadhali..
Back
Top Bottom