Recent content by Confundido

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ni baki na yupi?

    kuishi na wote sina uwezo huo bado najitafuta
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wachezaji ambao ukiwataja lazma utamke majina yao mawili

    ally kamwe
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ni baki na yupi?

    ilikuwa ugumu wa maisha baada ya kupoteza ajira, alikuwa anadai bado mapema ni subiri Kwanza Kwa kifupi hakuwa na sababu ya kueleweka mimba imethibitishwa na vipimo, na kuna uwezekano wa 60% ni yangu mzazi mwenzangu Kwa SASA yupo vizuri kawa mhumble Sana ananijali sana, ananisaidia Sana huyu...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ni baki na yupi?

    msimamo wangu ulikuwa ni kuishi na huyu mama kijacho ila alinikatalia, akaniambia hayupo tayari kwa wakati huo
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ni baki na yupi?

    soma tena
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ni baki na yupi?

    this is real life broo
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ni baki na yupi?

    taifa linajengwa na wengi mkuu siyo Mimi peke yangu, mimi fundi Rangi nasubiria Taifa kwenye finishing
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ni baki na yupi?

    asante broo
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ni baki na yupi?

    siwezi umri nao umeenda na mtoto mmoja tu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ni baki na yupi?

    wananichanganya tu hapa sijaona ushauri bado
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ni baki na yupi?

    wote wamekubali ni waoe na tuishi kazi kwangu sasa niamue niishi na yupi
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ni baki na yupi?

    Kwema wakuu Kwa wiki kadhaa sasa nimejikuta nikikosa usingizi kutokana na mawazo. Ni hivi: Nilitengana na mama wa mtoto wangu mwanzoni mwa mwaka 2021. Aliniachia binti yetu wa kike ambaye nimekuwa nikimlea peke yangu. Kwa sasa ana umri wa miaka 7. Tangu hapo nimekuwa nikitegemea msaada wa...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Hakuna series kali ya mablack America ya kuishinda hii

    Hiyo Kali sana Ila Kuna the wire, na power book
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nampenda mtoto wa kishua

    History sijui nielezeje, Nilitengana na baby mama wangu, kwa muda mrefu, nakuja kumtafuta tena mshenzi yule nakuta kashaolewa na anakachanga. Hapo ndipo nikaona option nikumchukua best friend wangu ila sasa nimgumu huyo. Ni dada mmoja mtoto wa kishua, alafu ni mlokole wale lia lia kabisa...
Back
Top Bottom