Recent content by CONFIRM

  1. C

    Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

    olympic 2008 ? w.cup qualification na W.cup yenyewe uliangalia kweli ? angalia pia fifa rankings katika ngazi ya taifa then urudi !!
  2. C

    Kama unatafuta chumba .

    Mdogo wangu anahama dar anaacha miezi 6 , njoo pm nikupe contact muelewane . Nyumba iko getin, ni chumba na sebule ila sebule ni ndogo kuliko chumba alafu self, bei 75000/= mabibo hostel
  3. C

    Natafuta chumba cha kupanga, Dar es Salaam

    Njoo pm .. kipo mitaa ya ubungo hostel .. around hapo ! Chumba na sebule , ulinzi, maji full .. @80,000 kwa mwezi .. kuna mdogo wangu anahama anaacha miezi 6 . pm nikuunge muelewane
  4. C

    Nakumbuka kwa mbali saana, sina uhakika

    Ipo nyingine ilipigwa tano bila..:-)
  5. C

    Natafuta OS windows 8.1 copy

    Njoo posta plus full installation unatoa buku 15 tu ... ni pm !!
  6. C

    Natafuta OS windows 8.1 copy

    kama unaweza kutumiwa kutoka dar ni PM , Ipo updated with media centres
  7. C

    Accounting Package Inahitajika

    Ipo tally erp . . Njoo pm tuongee !!
  8. C

    Nauza frigde ya milango2

    weka picha/brand name na location .. ni pm hivo vitu
  9. C

    Naomba msaada jinsi ya kufanya registration TCU

    thanks !! nimekuwa nikijaribu jaribu ila "Form 6 Leavers Registration Form" ilikuwa haitokei pale kwenye kuchagu qualification (i think ni kwa sababu ya kutumia technohama ya zamani "desktop af ina xp" nimebadili kwa laptop wind 8/google chrome imekubali... kuhusu voucher option nimeiona pia...
  10. C

    Naomba msaada jinsi ya kufanya registration TCU

    kwa yeyote aliyefanya registration TCU kupitia website yao ...! mbona hamna sehem ya account creation kun sehem ya log in tu! (how to create an account) hii wanayoita voucher number inapatikana wapi?.. anyone please immediate help !!
  11. C

    Let tally work for your business ...!!

    Meet tally erp 9 experts, we offer the following services ü INSTALLATION ü TRAINING & SUPPORT (including corporate training) ü CHARTS OF ACCOUNTS/COMPANY/BUSINESS SET UP IN TALLY ü EXCEL/WORD TO TALLY MASSIVE DATA TRANSFER ü INVENTORY/STOCK MANAGEMENT ü EXPENSES MANAGEMENT ü AND MANY MORE ………...
  12. C

    Tally erp software kwa ajiri ya bishara yako

    Kwa kuongezea tu . Tally ina security feature ambayo unaweza kufungua account mbali mbali kwa watu tofauti tofauti mfano owner awe na account yake ambayo ataweza kuona kila kitu na user wengine wawe na account zao ambazo unaweza kuwalimit mfano wasione profit ,stock , wasifanye.changes n.k
  13. C

    Tally erp software kwa ajiri ya bishara yako

    Isee njoo huku kwa tally erp hii ni mwisho wa matatizo .. wapo wengi waliokuwa na hiyo quick books nimewaonesha tally ilivyo wamehama haraka sana .!! . nipe pm nijue unataka tally ikufanyie nn tutaelewana
  14. C

    Tally erp software kwa ajiri ya bishara yako

    kama uk dar unaweza kuja posta jumatatu then nipigie kwa namba hiyo tufanye kazi
Back
Top Bottom