Kaka upo sahihi kwa maoni yangu. Unajua tatizo la watanzania wenzetu wengi wakat mwingine wanashindwa kukubali ukweli, ama kwa makusudi au kwa kutoelewa..tunakalia lawama na kuwa wakosoaji tu wakati wote, we don't consider things from every angle, miaka hamsini imepita na ardhi tunayo, kwani...
Huko ni kujiendekeza kaka, inawezekana. Acha tamaa zinazoweza kushindwa utaishi maisha marahisi tu...siwatetei wadada/wanawake wasio na staha hata hivyo
i'm comin a litle bit personal...how old are you pauline? Na hiyo semester unayozungumzia ni zamani kodogo au, i mean are u stil at university? And if yes, ni mwaka wa ngap.? I can be of a good advice kama ukinijibu, please
Mimi niko chuo. Sina kitu mfukoni, lakini naanza taratibu nikiamini nitafika huko siku moja.
Najifunza mambo mengi sana, natafakari sana, naongea na watu na marafiki wenye akili wanaojielewa ninapozidiwa kimawazo, napanga mipango midogo midogo na watu wangu wa karibu, nitajifunza mengi madhali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.