Recent content by concordile 101

  1. concordile 101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    https://www.facebook.com/share/r/1BaG3xJ9kk/ Duuh hizi nyumba bongo hata kigoma zishatpotea ila huku Nairobi bado zimedominate
  2. concordile 101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Watu ambao wanachanganya matumizi ya binafsi na biashara Toka lini wakawa na akili.🤣🤣🤣
  3. concordile 101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ndo maana mnaambiwa hamjui biashara , Toka lini household expenses like shopping and the like zikawa part and parcel of businesss expenses ? Hapo umewekewa miscellaneous expenses za 700 ambayo Iko inclusive na salary ya muuza chips baada ya zile gharama za kubwa kama stock purchase ( mafuta...
  4. concordile 101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Versus hiii Ya tz all buildings zimejengwa kwa blocks baadhi tu ndo bati zimechakaa ila Nairobi 90% zimejengwa na iron sheets zikiwa zimezingukwa na marundo ya uchafu
  5. concordile 101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hapo amepigiwa faida ya 500 kwa mtu anayeuza sahani 100 kwa siku au gunia moja . Na kawaida kg moja inatoka sahani mbili ila wamepigia atleast 150 per sack au 100 . Na hapo tunazungumzia watu wenye vibanda vya barabaraani tu sio kwenye bars and the like ambako huko huwa zaid. Shida wenzetu...
  6. concordile 101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Haoo umewekewa 500 ( profit only) kama faida kwa plate inayouzwa 2000tsh ikiwa na maana 1500 ndo expenses umeshindwa lijua Hilo? Yaan ni sawa nikuambie nyumba inauzwa 2mil tax exclusive halafu uanze nambia sijaweka amount ya kodi Then
  7. concordile 101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kila goti litapigwa, tumeondoa middle men kwenye mahindi sasa hivi makampuni yao yanakuja direct kununua tz kwa stakabadhi ghalani, acha njaa izid kukolea. Uzuri kulipia stakabadhi ghalani Kila kitu unamalizia ofisi moja , wewe ni kwenda na kuchukua vibali halmashauri na kuanza kupakia tu
  8. concordile 101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Huwa wamepotea wote sababu ya umeme
  9. concordile 101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Tanesco waachage ujinga wawe wanatuzimia mara moja moja
  10. concordile 101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Unakuwa na trade deficit ya mara mbili halafu unabaki kujidanganya kuwa currency yako ni superior kuliko zingine 🤣🤣🤣 Lazima uingie madeni kwa ajili kustanilize forex yako. Ukiacha iwe determined na market fluctuation baada ya muda utajikuta inadondoka mazima na maisha ya raia yanageuka shuruba
  11. concordile 101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kwa sisi wa jiji la marathoni mpaka tunamlaumu tanesco kwanini hawazimi umeme, tunataka tuone Radha ya kutongozana gizani, huwa tunakaa mpaka miezi sita bila hata kublink
  12. concordile 101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Weka ya Uganda kuna kitu natafuta
  13. concordile 101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Bado sidhani ila kwanza tuone, baada ya viwanda vya upande wa mkuranga na pwani vitakapokuwa fully operational.
  14. concordile 101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hawa ni wavivu wa fikra sana
  15. concordile 101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ndo naifanya sasa wewe tuambie cost gani imesahaulika na nyingine nyingi za vyakula
Back
Top Bottom