Zamani walikuwa Mandela road. Nw wamehama. Anaefahamu walipoamia anisaidie plz. Maana nimejaribu ku-Google, sijawapata.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Salama wakuu?
Nahitaji kununua satellite dish na decoder nzuri ambazo zitanifaa kwa mikoa ya kanda ya ziwa.
Bei na ubora vizingatiwe. Twafadhari.
Natanguliza shukrani.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kuna kazi nyingi nyingi wamepost hawa watu wa Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC)
Jaribuni bahati zenu.
=============
GEOPHYSICIST II (Three Posts)
GEOLOGIST II (Three Posts)
PETROLEUM ENGINEER II (Two Posts)
RESEARCH OFFICER II - Five Posts (Three Posts Chemical & Process and...
Mkuu!
Hayo ulioyaandika unaweza kuyafanya hata kwa mtu unaekutana nae kwenye fujo zetu za usafiri wa mjini?
Au limekuponyoka tu?
Samahani lakini.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kuna baadhi wa wanawake hutoa harufu mbaya manufacturing region. Hii ni kwanini?
Ni kwamba wanakuwa hawajijui kama wanatoa harufu ya ajabu.
Nawasilisha hoja hii kwa wakubwa nikiamini mtanipatia majawabu mazuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.