Recent content by Comrade One

  1. Comrade One

    Mambo gani ya ajabu umekutana nayo ukiwa kwenye faragha?

    Unataka na wao wawe na ugwadu😅😅😅
  2. Comrade One

    Mambo gani ya ajabu umekutana nayo ukiwa kwenye faragha?

    Unataka uwe kama king'ora cha ambulance?🤣
  3. Comrade One

    Mambo gani ya ajabu umekutana nayo ukiwa kwenye faragha?

    Kuna manzi yeye huwa analia kama king'ora cha ambulance ama cha msafara wa mama Samia 😂
  4. Comrade One

    INAUZWA PIKIPIKI LONCIN 110

    Bado ipo ama imeshanunuliwa?
  5. Comrade One

    Dada yangu amerudi nyumbani amesema wito wa usister wa Kanisa Katoliki umemshinda na anataka kuolewa

    Huwezi kusuluhishamgogoro WA wanandoa kama wewe Hujui Acha/Tamu ya Ndoa.ama Sijui wanandoa wawe wameamua kujizima Data
  6. Comrade One

    Gibson Sembuli, Ahmed Jongo na Mbaraka Mwinshehe

    Kwahiyo karogwa?🤣🤣
  7. Comrade One

    Gibson Sembuli, Ahmed Jongo na Mbaraka Mwinshehe

    Upo Sahihi kabisaaa kila kifo kina sababu Yake.Ogopa Sana Dua ya mwenyewe kuomba Mungu ikimpendeza awasaidie kuhukumu haraka iwezekavyo na hasa ukizingatia Jambo walilofanyiwa linaathiri Moja kwa Moja katika Kumuabudu Mungu. Kuna mwaka mtaani kwetu kulikuwa na kijana alikuwa...
  8. Comrade One

    Wanaume acheni kuwatumikisha wake zenu, waheshimuni

    Wewe ni jinsia Gani?. Tuanze hapo Kwanza
  9. Comrade One

    Gibson Sembuli, Ahmed Jongo na Mbaraka Mwinshehe

    Mbaraka Mwinshee Aliiba speaker kwenye msikiti wa mafisa Morogoro akatimkia Mombasa.Waumini waliomba dua wakamuachia Mungu afanye Yake kwa niaba ya waumini..Haikuchelewa dua ikajibiwa Mbaraka Mwinshee akapata ajali akafariki...Mwenyezi Mungu amlaze panapostahili
  10. Comrade One

    INAUZWA PIKIPIKI LONCIN 110

    Me nipo Zanzibar ila naitaka hiyo kama hadi J2 week hii itakuwa hujapata mteja please let me know maana nitakuwa na pesa siku hiyo insha'Allah.Utanitumia namba Namba yako Dm
  11. Comrade One

    INAUZWA PIKIPIKI LONCIN 110

    Automatic or Manual?
Back
Top Bottom