Recent content by Comrade kimako jr

  1. C

    Richmond na Dowans ni mali ya nani?

    UKWELI KUHUSU SAKATA LA RICHMOND Hii ni hoja ambayo kila uchao yeyote ambae atakua anampinga Edward Lowassa basi ndio funguo ya kuanzia popote atakapo simama hii kashfa kwa Lowassa ilianza muembe Yanga na Dr. Slaa aliopo toa orodha ya kwanza ya mafisadi hadi katika magazeti na watu kukaa hadi...
  2. C

  3. C

  4. C

    Kinana ampiga stop Mwigulu, amtaka asitishe ziara zake zote za Mikoani!

    Hapo wanamorogoro ktk ubora wao na kinana katika ubora wake
  5. C

    PAC: Wassira anaishi bure kwenye nyumba ya Bodi ya Sukari

    WASIRA Alipe kwanza kodi yetu ndio endelee na mchakato wa Urais. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira, kuondoka kwenye nyumba ya Bodi ya Sukari ama alipe kodi. PAC imetaka Wassira anayekaa bure kwenye nyumba...
  6. C

    Mwigulu apokelewa na mabango Morogoro Mjini

    WANANCHI NA WAKAZI WA MOROGORO MJINI WAMPOKEA MWIGULU NA MABANGO YA LOWASSA. Hali ya taharuki ilizuka Mkoani Morogoro baada ya mwigulu kukutana na mabango ya Edward Ngoyai Lowassa mkoani morogoro yalioandaliwa na waananchi wakazi wa Morogoro wanao amini katika 4UMOVEMENT##...
  7. C

    Kamati kuu ya CCM kumuongezea adhabu Lowassa ya miezi 12, jumatatu 19 Jan 15.

    Mbn wanatoa ushahidi wa midomo juu ya eddo si waweke wazi wanatuma watu kutafuta uongo wa namna ya kumkata huyu eddo
  8. C

    Vijana wa Lowasa waambulia kichapo mkutano wa mwigulu Morogoro

    Mabango wameyaonyesha na waandishi wa habari wameyapiga picha
  9. C

    Vijana wa Lowasa waambulia kichapo mkutano wa mwigulu Morogoro

    Acha habari za uongo aliyekamatwa ni mtu mmoja na aliachiwa hata polisi hakufika na yeye ndo alikuwa anapinga yale mabango usipost kitu ambacho hukielewi ndugu huyo jonas alienda ruaha ili kumpokea mwigulu jipange kwa taarifa sahii
  10. C

    Maazimio ya cc kmt kuu

    MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CCM -: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. Jana tarehe 13/01/2015 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wake wa Taifa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ilifanya kikao chake cha kawaida cha siku moja Kisiwandui Mjini Zanzibar. Pamoja na mambo...
  11. C

    CCM inaandikisha familia maskini mitaani, Lengo ni nini?

    Tuweke sawa ni utaratibu wa mtaa ama ccm kwa uelewa wangu chama chochote kinafanya kazi na watendaji wa kisiasa waliochaguliwa ktk eneo husika
  12. C

    Dr. Shein kumrithi Kikwete

    Huyo nae ana maamuzi
Back
Top Bottom