Kiwanda kikubwa cha Avdiivka Coke Plant kimeangukia kwenye mikono ya Warusi.kuanguka kwa Adviivka coke plant inaonyesha jinsi gani defence ya mji wa Avdiivka imeferi.
Warusi sasa wanafanya mashambulizi makubwa zaidi ili kuingia katikati ya mji
Hata wenzako hawawezi kukusaport kwa habari zako izo za You tube.unaonekana kama chizi vile [emoji1787][emoji1787][emoji1787].ushambiwa toka siku nyingi kuwa izo ni video za kutafuta views,ila wewe usikii unapoteza kumbukumbu kama vile mbuzi
Mifano yako ni pumba tupu.kazi ya mwanajeshi ni kupigana vita sio kukaa kama vile wabunge.wanajeshi 100 kukaa kwenye majengo sio kazi nyepesi kama unavyofikiri labda wawe wamezingirwa kama vile ilivyokuwa kwenye kiwanda cha Azov.wanajeshi uwa wanazagaa kwenye mitaa na hata usiku kukuta wamelala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.