Recent content by comPYuta

  1. C

    JamiiForums Tanzania Walaaniwe wanaohamasisha vurugu

    Habarini za Jioni Ndugu wana JF. Kwa pamoja wote tunao litakia mema taifa letu tuungane kukataa vurugu zisizo na tija kwa maslahi ya wachache wanaotumiwa kuliharibu taifa letu tulilolirithi kutoka kwa Babu zetu. Kupigana, kuvurugana, kutukanana na kutoheshimiana si utamaduni wa watanzania na...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu Yanga hii haina namba 9 asilia

    Na huo ndo mtego wenyewe, wapinzani hawajui wakabe nani[emoji23][emoji23]
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kama kisiasa Israel ilitawaliwa na Rumi lakini Yerusalemu kuna Msikiti hakuna Kanisa maana yake Waislam ni Wayahudi?

    Tatizo hao ndugu zetu walikimbia shule hivyo uelewa umekuwa finyu
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kama kisiasa Israel ilitawaliwa na Rumi lakini Yerusalemu kuna Msikiti hakuna Kanisa maana yake Waislam ni Wayahudi?

    Na hawa mashehe wachawi tunaowaogopa mtaani wanamfata nani?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nyaraka za siri kati ya Israeli na Marekani za kuwatoa Wapalestina kwenye ardhi yao zavuja

    Vita hii sio ya kidini Mkuu , ni ya kisiasa zaidi, nasikitika kusema wapelestina wameingia mtego waliotegewa na wanayoyapitia sasa si ya kutisha
  6. C

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Sukuma gang mnaushamba fulani, bado mnahisi magufuli atarudi.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wadau wapinga Rais Samia na Makamu wake kuingia na Viti binafsi Kanisani, yadaiwa ni kujikweza

    Inaonesha una chuki binafsi tu na huu uongozi, maana haina maana kulalamikia viti badala ya kuandika nyuzi zinazolenga maendeleo.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Chuki ya January Makamba kwa Hayati Magufuli sasa iko dhahiri

    Inaonekana na wewe mleta uzi unachuki na J.M
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

    Rest in Peace kwake.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

    Pongezi kwa nchi yangu, Swala limetatuliwa kidiplomasia
  11. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

    Kazi iendelee acheni kulaumu.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hii Bajeti ni ya Mama au Hayati Magufuli?

    Ngumu kumeza hiyo mkuu[emoji16][emoji16]
  13. C

    JamiiForums Tanzania Hii Bajeti ni ya Mama au Hayati Magufuli?

    Hahahah[emoji16][emoji16][emoji16]
Back
Top Bottom