Recent content by complexi

  1. complexi

    JamiiForums Tanzania Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

    mfumo hautend haki kwa kwel though watu wanatoboaa kupitia hii portal shida hizi changamoto wanashindwa tatuaa
  2. complexi

    JamiiForums Tanzania Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

    mkuu apo umeyatimbaa ilo tatizo limewakumba wengi na ukiwapigia waondoe iyo level wanakwambia hawawezi ondoa kwasababu ni mali yako
  3. complexi

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

    ivi inawezekana ukaapply mara mbili i mean ukaapply masomo yote mawili moja moja separately?
  4. complexi

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii

    yeah kwenye professional qualificationn if sijakosea
  5. complexi

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii

    ilo la kutofuta cheti ndo wamezinguaaa mno
  6. complexi

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    OP gani ilikuwa iyo nachingwea
  7. complexi

    JamiiForums Tanzania Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

    shida namba ya nida ngumu kutumia zaidi ya mara moja
  8. complexi

    JamiiForums Tanzania Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

    sawa shukrani
  9. complexi

    JamiiForums Tanzania Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

    shukrani mkuu ngoja nifanye ivooo
  10. complexi

    JamiiForums Tanzania Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

  11. complexi

    JamiiForums Tanzania Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

    Naomba kujuzwa namna ya kufuta course ambayo nimesave kwenye mfumo wa ajira portal. Nimeweka level ya education ni diploma na nimesave but nikijaribu kufuta inakataa, lengo niombe kazi kwa kutumia level ya certificate na siyo Diploma. Naomba mnisaidie kama kuna namna ya kufuta.
  12. complexi

    JamiiForums Tanzania Examination Officer written interview

    umitwa interview? maana kuna mtu aliomba nafasi kama iyo
  13. complexi

    JamiiForums Tanzania Kuongea na Mhudumu wa Vodacom ni kama imefutwa

    ukipiga nenda kwenye menu ya m-pesa then select menu ya kukosea kutuma ela watakuunga direct na watoa huduma vinginevyo hauwapati ng'ooo
Back
Top Bottom