Recent content by commm

  1. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu mfuko wa Hatifungani (Bond) wa UTT AMIS

    Eid Mubarak. Naomba kueleweshwa mfuko wa bond wa UTT AMIS. Mfano muwekezaji akiwekeza million 100, gawio lipoje? Na je kuna uwezekano wa mtaji huo wa million kukuwa? Na je hizo bond huiva baada ya muda gani?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ni Kozi ipi ya Computer ina soko kwa sasa?

    Uzi mzuri. Ahsante kwa wote mliotoa mawazo yenu hapa
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume tafuta pesa, wanawake wazuri utawapata bila kujalisha una miaka mingapi

    Wewe una miaka mingapi na umeoa mwanamke wa miaka mingapi na je hizo pesa umeshazipata?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Busara kutoka kwa baba tajiri

    Mawazo mazuri kwa mtu ambaye atayafanyia kazi
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Mkuu hapa hakuna wa kukulaumu ,wewe shusha stori ili na sisi tuweze kujifunza
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Bikra ilitolewa kimasihara
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Simanzi lakini ndio hivyo tena ishatokea
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha yangu kabla sijafika Marekani

    Hakuna ambaye hatoki mbali
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha yangu kabla sijafika Marekani

    Sasa marekani ulifikaje na unafanya kazi gani huko?
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Daah mkuu stori haiishi tu
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Changamka kaka
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Mbona kweupeee?
Back
Top Bottom