Recent content by ComeOnMen

  1. C

    FT Simba SC 1-1 Gaborone United l CAF CL l 2nd preliminary round l 2nd Leg lBenjamin Mkapa Stadiuml 28-09- 2025

    Gaborone wanaweza kupata goli na wanakosa accuracy tu wanafika sana kwa simba
  2. C

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hahhaa sio yeye bana huyu ni songea huko sijui yeye ni wa wap
  3. C

    Tuliowahi kushikwa na tumbo la kuhara kwenye mazingira hatarishi tukutane hapa

    Daaah kuna siku nasafiri dar bukoba gari ilifeli ruvu tu hapo tumetoka kwa kuchelewa Mohamed Trans hyo Gairo saa kumi na kama saa nane hivi tumeshuka kula nikala yale ma egg chop ndo yalikua mengi ebana kufika dom mbele mbele hiv tumbo limechanganya nkaenda kwa dereva na wenzie pale kuwaeleza...
  4. C

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Yaap alifaulu div 3 alipata
  5. C

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Na mimi ngoja niwashirikishe namna ilivokua Miaka fulani nilikua na brother ang wa mtaan tu, alikua kapanga na gheto ni zuri tu. Sasa kuna siku alikuja akamuomba mother (hapo nilikua nakaa home) kuwa anasafiri kwenda mkoani so mimi nikakae pale kwake kwa siku ambazo hatukuwepo. Basi likapita na...
Back
Top Bottom