Recent content by Coman Ruzina

  1. Coman Ruzina

    Polepole: Hii sio awamu ya Sita bali ni ya Tano kipindi cha pili, aliyeondoka ni Magufuli peke yake

    Hahusiki kivipi akati alikua second in command na kwenye karatasi ya kura tulimchagua? Yeye ndo alipaswa ahusike, kama si yeye basi nani?
  2. Coman Ruzina

    Kwa anaye ifahamu course ya diploma in health information sciences

    Kwa anaeifahamu course ya DIPLOMA IN HEALTH INFORMATION SCIENCES. kazi zake, Uwepo wa ajira, Salary ya mwajiriwa wa diploma au hata information yoyote kuhusu hio course naomba anisaidie
  3. Coman Ruzina

    Chuo cha lake zone Mwanza na course ya diploma in health information sciences

    Ndugu zangu samahni kwa usumbufu ila naomba kama kuna mtu anafahamu lolote kuhusu course ya health Information science (diploma), ajira yake ni ipi, uwepo wa ajira , salary yake and any other helpful information, naomba sana msaada wako. Pia kama kuna mtu anakifahamu chuo cha lake zone health...
Back
Top Bottom