Recent content by CollyP23

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa uwataje marapa 3 ambao ni wakali wa michano kutoka kwenye list hii, utaenda na nani?

    Hapa naenda na kanye, jay z na 50
  2. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri Mpina: Kagombee kupitia chama chochote, utapita maana wananchi wako upande wako kwa 100%

    Tatizo mfumo, hata sasa wananchi wanamkubali 100% japo ni mbogamboga ila shida mfumo ndugu.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Cement imepanda bei, tutanunua hadi 18500. Tatizo lipo wapi?

    Yap kwanini zimeongezeka kwa kiasi kikubwa hivyooo?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Cement imepanda bei, tutanunua hadi 18500. Tatizo lipo wapi?

    Leo viwanda vimetangaza upandaji wa bei ya cement, sasa itauzwa kwa kati ya 18,000 hadi 18,500 kwa dar. Najiuliza viwanda tunavyo hapahapa tatizo lipo wapi? Wataalam mtusaidie..
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ukimtumia mtu mnayeheshimiana text meseji isiyofaa kimakosa unafanyaje?

    Nitakachofanya ni kumuandikia sms nyingine ya kumuomba radhi
Back
Top Bottom