Recent content by COLINI

  1. C

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa heka 15, wilaya ya Kibaha vijijini, km 130 kutoka Dar es salaam

    na nyie hacheni kuwa mnachangia pumba tu, sasa hapa ndo umechangia nini? si umeambiwa utakutanishwa na mwenyewe? dalali si kazi kama kazi zingine na wakati mwingine mwenye mali umpatia dalalali kwasbb yeye anakuwa bize? au ulitaka akudanganye? kuna madalali ambao wako regestered na wanatambulika...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Utaratibu gani naweza tumia ili kurudishiwa VAT

    Wakuu, mimi nimesajili jina la biashara yangu, nikapata lesen ya kupeleka bidhaa nje. sasa bidhaa hizo nazichukua kiwandani, wananiuzia na VAT, nikiwaambia mimi na export sitakiwi kulipa VAT hawakubali. Hivyo naomba kujua hiyo VAT nikisha ilipa pale kiwandani ni utaratibu gani nitumie...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata bidha hii kwa wingi?

    laini yenye chenga za mchele, na unauza bei gani kwa ton?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata bidha hii kwa wingi?

    naweza kupata sample kabla ya bei?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata bidha hii kwa wingi?

    naweza kupata sample kabla ya bei?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata bidha hii kwa wingi?

    Wakuu, naombeni msaada kwa yeyote anayejua ni wapi na weza kupata bidhaa zifuatazo kwa wingi naomba anielekeze na ninatanguliza shukruni. 1.Pumba za ngano kuanzia tan 30 2.Pumba za mpunga kuanzia tani 30 3.Pili pili manga kuanzia tani 10
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya nywele na mambo mabaya?

    Ni imani tu, kwani Adam na Hawa, kwenye vitabu kuna sehem inaonyesha walienda saloon kunyoa? au Yesu alienda saloon gani? imani tu.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta business partner

    Huyu jamaa kimeo tu, hayuko serious
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 200 vijana wastaafishwa kinyume cha sheria

    Kampuni kani? hivi kwanini mnatupaga kaz ya kuanza kuuliza mambo kama haya, wap,kampuni gani,sababu zip? kusanya taharifa za kutosha hili tupate pa kuanzia.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mashudu ya pamba yanapatikana wapi kwa wingi?

    Nitashukuru mkuu
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mashudu ya pamba yanapatikana wapi kwa wingi?

    Asante sana kaka nitampigia kesho
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mashudu ya pamba yanapatikana wapi kwa wingi?

    Wakuu hivi mashudu ya pamba yanapatikana wapi kwa wingi na bei yake ni bei gani? kuna wahindi apa dar wanayaulizia hivyo natafuta pa kuyapata niwe nawaletea mzigo. naomba anaye jua anifahamishe tafadhari. nimewauliza mna nunua bei gan wakasema wao wanataka kujua mimi nitawauzia bei gan? hivyo...
Back
Top Bottom