Recent content by Coin

  1. C

    JamiiForums Tanzania Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

    Serikali ingeanzia kwa waagizaji wa sukari kutoka nje hapo sukari inaweza kupatikana wao wameanza tu kudhibiti bei bula kujua sukari imeingia kwa bei gani
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Novatus Rugambwa ateuliwa kuwa balozi wa Papa New Zealand

    No kuwa kardinal sio lazima uwe askofu
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kilo moja ya unga ni kati ya 1400 mpaka 1600 huku nilipo

    Natamani ifike hata 3000 kilo ya unga ili mkulima naye athaminike
  4. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mhasibu alivyotafuna Mamilioni ya Jiji la Arusha na Kutokomea Gizani

    Mkurungenzi alikuwa wapi muda wote mhasibu akitafuna pesa.miaka yote jamaa ankusanya kila gari 20000 kila siku zaidi ya magari 100 kwa siku
  5. C

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Nini kifanyike mtu mzito
  6. C

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Mkuu kuna ndugu yangu ana duka kila mara anafanya hesabu anapata loss yeye ndio muuzaji,hakuchukua fedha ila inatokea tu loss.sasa anataka kufunga maana ni fedha nyingi hupotea bila kijua ni wapi inatoka.hii inaweza kuwa ni chuma ulete.nini afanye
  7. C

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Eti nini maana ya chuma ulete na inafanyaje kazi
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Have you ever been rejected?

    Huwezi jua Mungu amekuepusha nini.
Back
Top Bottom