Mchele kwetu bado bei ipo vizuriVipi kwa upande wako wewe, bei ikoje?
Unashauri nini kifanyike maana hali si hali.
Mchele kwetu bado bei ipo vizuri
Mwaka wetu wakulima tunacheka kwadharauuuu.haaaaaa .unahitaji tani ngapi za mahindiVipi kwa upande wako wewe, bei ikoje?
Unashauri nini kifanyike maana hali si hali.
Wapi hiyo?Uku kwetu imefika 1800 kilo hali ni tete
Wapi?Kwetu 1200
Wapi?Nimenunua kiloba juzi 27000
Hii ni neema kwa mkulima mkuu.Bei ikiwa ndogo atarudije shamba na watoto atawapelekaje shule maana na yeye anataka apeleke shule watoto wake kama wewe.Dawa ya hii kitu ni na wewe kutafuta shamba ulime.Vipi kwa upande wako wewe, bei ikoje?
Unashauri nini kifanyike maana hali si hali.
GezauloleWapi?
Gezaulole Ya DSM?Gezaulole
Muheza tanga,,,,Dona 1200 sembe 1300 Leo tarehe 28/10Wapi?