kifupi tu,Tumia akili anaweza kuwa ni mtu wa mfumo na aliyekuwa anafahamu mipango yote kuhusu Magufuli au alikuwa karibu na watu wa mfumo hivyo taarifa nyingine zilivuja kwake kuhusu mipango hiyo.
Mada ya coding inaanzia darasa la tatu kwenye somo la sayansi lakini cha kusikitisha walimu hawajapewa semina au mafunzo ya kutosha hivyo wengi wao kuziruka hizo mada au kufundisha bila kuwa na maarifa ya kutosha.
Kabisa,waislamu sio watu wa kuwaamini maana wanaendeshwa sana na mihemko ya kidini na wanachuki mno kwa wasio waislamu hivyo hawa ni kubinya haswa ili wasivuruge amani ya dunia.
Kweli kabisa maana hata hii kamata kamata ya viongozi wa lbl ni mpango wao ili wapate sababu ya kusema wapo kwenye matatizo na akaunt zao zimeshikiliwa na polisi kumbe lengo lao ni kukimbia na pesa za watu
Muda ushaenda mkuu ,maana wameanza tangu mwaka jana na sifa kubwa ya haya makampuni ya kitapeli hawawezi kaa muda mrefu sana,hivyo muda wowote watakimbia na pesa za watu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.