Recent content by Coffee

  1. Coffee

    Naomba kujua usafiri wa mabasi kuelekea mikoa ya Lindi na Mtwara

    Members naomba kufahamishwa ni kampuni gani za bus za kuamika kuelekea mikoa ya Lindi na Mtwara kutokea Dar , ofisi zao zilipo pia. Nawasilisha
  2. Coffee

    Hakikisha huolewi na wanaume wa aina hii

    Kwa kweli una uzoefu wa kutosha wote hao washakuoa na kuachika aisee. Hizo ndoa zilikuwa zinadumu kwa muda gani dada?
  3. Coffee

    FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

    Umeelezea vizuri sana yaani ndio hali halisi iliyopo juu ya Yanga kwa timu zote za ligi kuu kwa sasa.
  4. Coffee

    Usimpe nafasi ya pili mwanamke aliyekusaliti: Soma yaliyonikuta, unaweza jifunza kitu

    Eti uendelee kupiga haya subiri ubambikiwe mimba sijui utatokaje maana una mpango wa kumuacha. Mteme mazima kama huwezi hakikisha unapiga kwa kinga atajua umemshtukia ni kicheche na huna future naye.
  5. Coffee

    Maisha ndo haya haya, tuache majivuno

    Acha unafiki wewe unajifanya kusikitika wakati kiuhalisia umefurahi mwamba kuyumba kiuchumi. Nikuambie tu furaha yako ni ya muda mwamba atasimama tena uzidi kuumia.
  6. Coffee

    Naomba ufafanuzi kuhusu marufuku ya matumizi ya US Dollar hapa ndani ya Nchi. Je US Dollar inaenda kuporoka kuanzia hiyo July 2024?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ningependa kupata elimu kidogo kwa kinachowezekana kutokea kuanzia July mosi juu ya Dollar Vs Tshs. Naomba kuwasilisha.
  7. Coffee

    Aziz Ki ni shemeji mtalajiwa 😂

    Unatamani ingekuwa wewe ndio umepigwa mimba eti Dada. Pole
  8. Coffee

    TFF, June 2 Mtaleta maafa Manyara.

    Daah! kama ni kweli sio salama uwanja mdogo sana ule . Kwanini hawajifunzi hata kwa yaliyotokea juzi Arusha match ya nusu fainali Yanga Vs Ihefu? Kuna vitu vingine vinaepukika ila tunafanya kama hatujui madhara yake. Waliangalie hilo vizuri.
  9. Coffee

    Nywila yangu ya simu yaleta ugomvi

    Subiri ujumbe mzuri uingie toka kwa mchepuko ndo umpe password Mkuu. Mtoto akililia wembe ...
Back
Top Bottom