Recent content by codyz

  1. codyz

    Watu wafurika Hotel Mwanza kumuaga Lowassa akienda Mbeya

    asee ni hatareee hilo nyomi la gold crest utafikir kulikua na mkutano
  2. codyz

    Nimepigiwa simu na CHADEMA asilia kutoka Dar na Mwanza

    ongea yote uwezayo lakin swala la Arusha kwenda ccm halipo
  3. codyz

    Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    asante ndugulai maana tumeshachoka
  4. codyz

    Vipi hali ya Jimbo lako, upepo unavumaje?tupeane updates!

    wenje nyamagana sina wasiwasi nae
  5. codyz

    Kimenuka CHADEMA

    huyo mbona yuko peke yake alaf anasema tunamataka af kama vile kaambiwa shika bango tukupige picha..
  6. codyz

    Kipanya katika ubora wake.

    hahahaaaaaa salute MASUDI na huyo anyetaka kuingia na kisu mbona kama slaa??/
  7. codyz

    Ukweli mchungu: Lowassa anakubalika na atapata Kura nyingi pia Ndani ya CCM

    hapo ndipo namkubali mpaka bas yey hata siku moja hapigi majungu,kasfa,vijembe maneno ya hovyo hana yeye anakueleza anachokusudia kufanya
  8. codyz

    Maandamano ya CHADEMA ya Wafuasi wa Dr. Slaa Jijini Mwanza

    mbaya zaid kateleza alaf akapaisha baada ya mechi kuisha akakimbia kuogopa mashabiki kumshambulia
  9. codyz

    Tutashinda kwa kila mbinu,na mbinu zenyewe tunazo

    hata ukimwita kibaka nitampa kura yangu
  10. codyz

    TCRA mpo? Naomba ufafanuzi kuhusu kipande kilichorushwa na Star Tv mara tu baada ya habari

    hata wajitutumue vp msimamo uko pale pale haturud Misri ni mabadiliko tunataka viva Lowassa
  11. codyz

    Tundu Antipas Lissu

    haya tumekuelewa shikamoo Lowassa
  12. codyz

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    haina kurud nyuma kamwe na amechelewa
  13. codyz

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    huyo kapanic na hakuna anayemfata ss tulishaamua ni ukawa hata wawek jiwe tutalichagua tu
  14. codyz

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    huo ndio ukwel alaf ndo kaniongezea hasira ya kumpa Lowassa kura
Back
Top Bottom