Nani kakwambia Marekani hawachimbi mafuta/gesi? Tambua hili kuanzia leo, Marekani katika mwaka 2018 ilikua top producer wa oil Duniani wakiwa wamezalisha 16% ya mafuta duniani, ilifuatiwa na Saudi (13%), Russia (12%), Canada (5.5%), Iran (5%), Iraq (4.9%), UAE (4.2%), China (4%), Kuwait (3%)...