Recent content by Code 77

  1. C

    Napenda kuuliza kwa unyenyekevu, Polisi analipwa sh ngapi kwa mwezi?

    Unajua CCM hawajui siasa ndomana unaona wanatumia nguvu kubwa Sana kuwazibiti wapinzani.,,Siku Vyombo vya usalama vikiacha kuisaidia CCM basi ndio mwisho wao
  2. C

    Napinga wafuasi wa CHADEMA kupanda treni ya SGR

    Wakati mwingine kabla hujaandika na kupost mada fikiria basi hata kwa akili yako mdogo ulionayo
  3. C

    PreGE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

    Tutayashuhudia mengi kuelekea uchaguzi mkuu mwakani
  4. C

    PreGE2025 Tundu Lissu arejea nchini, asema atagombea urais 2025 kuitikia wito wa Watanzania

    TUNDU LISSU ndiye mtu pekee mzalendo na ana nia ya dhati ya kutuletea maendeleo wa Tanzania
  5. C

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    We jamaa mbona stori yako ndefu sana?
Back
Top Bottom