Recent content by cocobanana

  1. cocobanana

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    msiende ugiriki .Italy wala Spain hakuna kazi utaishia kuuza unga:oops::oops:
  2. cocobanana

    JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa kutishia kumuua mamaake

    Juma Janmohammed lakini ye upenda kujiita Fuad Jamal a.k.a Mzee Baba amenaswa uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akisubiri Ku kwea pipa la kuelekea uingereza Huku akijua fika kuwa Ana kesi ya kutishia kumuua mama yake mzazi, ina maana alipoona Huku inakaribia machale yakamcheza...
  3. cocobanana

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Anthony Lusekelo 'Mzee wa Upako' awaombea kifo waandishi wa habari

    hao wafuasi wake hata tukisikia anawanywisha dettol sishangai
  4. cocobanana

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kutoka kwenye Uchaguzi wa Marekani?

    kuna tofauti ya mwizi na bilionea
  5. cocobanana

    JamiiForums Tanzania PICHA: The Citizen na kingereza kibovu

    Kilikuja na meli ndio tatizo
  6. cocobanana

    JamiiForums Tanzania Watanzania ndio watu wanafiki zaidi duniani

    tupe chanzo cha hizo habari za utafiti
Back
Top Bottom