Recent content by cmomwa

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini private candidates wengi huwa wanafeli (hawapati matokeo mazuri kama ya school candidates?

    JAMANI NDUGU ZANGUNI MWENYE PDF YA MAJINA YA POST ZA KIDATO CHA TANO NAOMBA PLEASE
  2. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua

    Huu mchongo umekaaje mkuu...tunaweza kupata mawasiliano
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mama, Mungu akupe umri mrefu uone matunda ya uzao wako

    Isingekuwa rahisi mimi kuendelea kukuona ukiongeza maji kwenye mboga ya mchuzi ili mimi na ndugu zangu yatutoshe kwaajili ya ugali. Isingewezekana mimi kuendelea kukutazama ukifokewa na vijana wadogo unaoweza kuwazaa, eti kisa kukosa hela ya kulipa madeni yao. Isingefaa mimi kuendelea kukuona...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Tecno camon CX Air inauzwa

    Haina kipengele chochote bei 120k nicheki tufanye biashara 0684737743
  5. C

    JamiiForums Tanzania Joining Instruction ya Tura Sekondari, Tabora

    Habar za sahizi wakuu Nilikua naulizia joining instruction ya shule ya TURA SECONDARY SCHOOL iliyoko Tabora maana nmejaribu kusearch kwenye website ya TAMISEMI naona inakataa kuja naombeni mnisaidie mwenye uelewa wa jinsi ya kuipata.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Posts za Kidato cha Tano Awamu ya Pili

    Jamani ndugu zangu nilikua naomba mnisaidie kama kuna mtu ana PDF ya majina ya wanafunzi waliopangiwa kujiunga na kidato cha tank 2021/2022 naomba anisaidie.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Insurance Agency

    Jamani ndugu zangu hakuna kitu kingine chochote ninachokitegemea kiniingizie pesa zaidi ya Wateja wangu wa bima kuja na kuniungisha. Tunahusika na kukatia bima magari, pikipiki, machinery, na vinginevyo so if you are interested nicheck nichekini ndugu zangu tupeane michongo.
  8. C

    JamiiForums Tanzania JOINING INSTRUCTION

    Wakuu mimi nmepangiwa kifaru secondary school IPO moshi sasa wakati natafuta joining instruction nmekuta ya 2017 vp naweza kuitumia au kama mwenye nayo ya 2019 naomba anisaidie wakuu
  9. C

    JamiiForums Tanzania Selection form five

    S0316/0016...!! DAINA MODESTUS WILLSON shule atokayo KIBASILA
  10. C

    JamiiForums Tanzania SORRY WAKUU

    Mwenye PDF ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kidato cha tano 2019/2020 nayaomba tafadhali
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: HELSB BATCH 4

    Jamani na vipi kuhusu wale waliotoka kwenye batch1 lakni kwenye allocation hawapo
  12. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: HELSB BATCH 4

    Duuuuuuh co poa kabsa Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  13. C

    JamiiForums Tanzania LOA ALLOCATION

    Wakaondolewa kivipi mkuu cjakupata
  14. C

    JamiiForums Tanzania LOA ALLOCATION

    Jamn kuna lile tatzo la watu kuonekana katika batch 1 lakn kwenye allocation vyuon hawapo nilikua naulizia je washashughulikiwa au bado
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Anayehitaj kuna tecno cx camon haina tatzo lolote lile kwa 220k nicheki pm Location kawe
Back
Top Bottom