tayari tumepeleka more than 60 candidates,wanafanya kazi,na ndugu zao wengne wanakuja kwa ajili ya kuapply hizo kazi,so ni suala la kwamba umefikaje huko nje ya nchi,ukiondoka kinyemela bila kufuata taratibu,magum lazima yatakukuta maana serikali yenyewe inakuwa haitambui upo nje ya nchi
50 thousand ni registration fee,sio kukupiga pesa,na kwa nafasi za Saudi Arabia,baada ya kufaulu interview kampuni inakulipia kila kitu kwa ajili ya safari! Thats why its only for interested candidates
Competitive Manpower International Limited ni wakala wa ajira za nje ya nchi,inawatangazia nafasi za ajira nchini Saudi Arabia,nafasi zilizopo ni:-
1.Salesman 50 (Drivers)
2.Salesman Assistant 50 ( Drivers)
3.Cook 5
4.Labourers/Vibarua 50
Interested Candidates wanaweza kutembelea Ofisi zetu...
currently wanajaribu kwenda sawa na kasi ya maendeleo,ndio maana wameanza ku-outsource manpower kutoka nchi nyngne,so hawana namna ya kuwabana sana sababu wanakutumia mkataba unausoma kwanza,ukiridhika ndio unaenda,so u'll live your contract[emoji404]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.