Nakushauri hata usifanye hiyo Test, hao jamaa wanao jiita Planet Action Fund, wanao tangaza ajira huko Sudani, Uganda na Congo ni matapeli, kwani hakuna NGO kama hiyo huko blackburn wala Preston wanakosema kuna ofisi zao.
Nina shawishika kuamini kuwa wana uhusiano wa moja kwa moja na hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.