Recent content by Clozapine

  1. C

    Nikupe Siri kuhusu UKIMWI

    Nimesoma ujumbe uliotuma na kuuelewa mengi uliyoandika yana ukweli kabsa Kurekebisha sehemu moja kuhusu matumizi ya dawa kwa ufasaha na vipimo vya HIV Ni kwamba kwa vipimo vya sasa vya HIV ni vigumu sana kipimo kushindwa kuonesha kama MTU ameathirika, hivi vipimo hudetect antibody za VVU na sio...
  2. C

    KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

    Maelezo ya Lulu yana mchelemchele kama kweli Hayati alikuwa na uwezo wa kufanya chochote kwenye mwili wake ,kwann atumie panga.Ukisikiliza maelezo ya Lulu unagundua kuwa anacase kabsa ya kujibu.Ningemshauri tuuu asicheleweshe mahakama kufanya maamuzi maana 12 yrs inamhusu
  3. C

    Wanawake vimodo/English figure

    Unachoongea kuna ukweli kiasi chake.Wanaume tamaa zake huanza na kuona kwanza kwa mwanamke inakuwa kusikia .Mwanaume akiona mwanamke mashallaaah kajaliwa na mwenyezimungu Msa Napoint moja tuu hapa kwamba swala la portability, simplicity na activeness. Wanawake wanene wanakuwa wazito ,wengi...
  4. C

    Faida za mbegu za kiume kwako ewe mwanamke

    Shahawa zikishatolewa kwenda kwenye mfuko wa uzazi hubakia kuwa uchafu na hutolewa Kama uchafu kupitia njia ya uke.Mabadiliko yanayotokea ya kimaumbile ,sauti na mengineyo hutokana na hormones kama oestradiol ,hivyo mbegu zamwanaume hazina uhisiano kabsa na mabadiliko ya maumbile na muonekano...
Back
Top Bottom