Recent content by clouz

  1. clouz

    JamiiForums Tanzania Star tv leo mmetoa somo kwa TBC 1

    Safi sana ila tbc hata mechi .za kimataifa zina zochezwa dsm wanachukua kupitia ZBC
  2. clouz

    JamiiForums Tanzania Star tv leo mmetoa somo kwa TBC 1

    Maadhimisho ???? Wameonesha coz ni siku takatifu na kama president kusali kaenda coz ni mkristo kamili au ulitaka waweke marudio ya maulid ya jana ambayo majaaliwa alikuwepo
  3. clouz

    JamiiForums Tanzania Star tv leo mmetoa somo kwa TBC 1

    Kwan wewe kucoment umelazimishwa mbona jana kaoneshwa majaaliwa akihutubia kwenye maulidi acha udini wewe
  4. clouz

    JamiiForums Tanzania Mabanda ya kisasa ya kuku {chicken cages} naweza kupata wapi?

    Ingekuwa vizur ungeweka na Picha mkuu au website yao
  5. clouz

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Daa nahitaji na mimi kujua
  6. clouz

    JamiiForums Tanzania Mabanda ya kisasa ya kuku {chicken cages} naweza kupata wapi?

    Hata mimi ili nahitaji kujua
  7. clouz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Timu kama army safi sana
  8. clouz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli cristiano ronaldo ni shogaaa!!?

    Tukisema na wewe shoga usipokanusha ndo itakuwa kweli sidhani
  9. clouz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa line up zilivyo bora ningemuua barca tu
  10. clouz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daaaah mimi jana nilimuua man u na nikampa psv na psg kwa twenty ndo nikapa ta kiburi cha kuweka faida yote leo nijaribu pia ,, ila kama akiniua basi
  11. clouz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Noma na iwe , ila arsenal nimeipa kwa mapenzi yang binafsi odds 10
  12. clouz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli cristiano ronaldo ni shogaaa!!?

    Uwongo sio Kwelii
  13. clouz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haipingiki timu hizi tatu za EPL haziwezi pita UEFA 16 bora

    We hujui mpira na wala ufatiliii
  14. clouz

    JamiiForums Tanzania Dharura, nahitaji man delay spray fasta

    Ndo nini hiyo
  15. clouz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Niko Tait hata kuuotoa huu mkeka nimeshindwa,,, mnaweza mkachangia na akili zako unachukua team 4 hadi sita 11600 inakuja kama m 10
Back
Top Bottom