Hasidi hana sababu. Unashangaa ya Lema, umewahi kuwaza ya R.I.P Masaburi, mtu wa kwao kabisa walivyomfanyia hadi kuharakisha kifo chake, na msibani bila aibu wanatoa maneno kinyesi. Naamini Mungu anawaona na malipo yao ni hapa hapa duniani.
Hakuna cha vetting wala nini, kapewa uongozi kama zawadi ya 1.Kusaidia kupitishwa kwa rasimu ya katiba ccm waliyoitaka. 2.Kumpiga mzee Warioba. Hakuna kigezo kingine chochote kilichotumika juu ya Daudi Bashite wa Kolomije.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.