hivi kulikuwa na ulazima gani wa rais kukagua obama avenue na maendeleo shughuli za mapokezi kwa ujumla, kwani hakukuwa na wajumbe wakuu wa maandalizi ya mapokezi? na kwa nini hatujiamini? au kwa sababu kikombe kimesafishwa nje kwa ustadi wakati ndani kichafuu k
hivi hawa polisi nani anawatuma kuwakamata wabunge, hivi hawajui kuwa hata makinda anafahamu kuwa hilo nijembe(TUNDU LISU) nijembe, na hv hawa polisi watumwa na ccm?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.