Recent content by cleverr

  1. cleverr

    JamiiForums Tanzania Nahitaji karanga na mbaazi kwa mzigo mkubwa

    Unapatikana wapi?
  2. cleverr

    JamiiForums Tanzania Nahitaji karanga na mbaazi kwa mzigo mkubwa

    Zipo tayari
  3. cleverr

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa biashara kwa mtaji wa milioni moja

    One million 🥲
  4. cleverr

    JamiiForums Tanzania Njoo tulime kilimo cha umwagiliaji

    [emoji23]
  5. cleverr

    JamiiForums Tanzania Nawekezaje bumu linisaidie kulipa ada?

    Hii inakuaje mkuu
  6. cleverr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikieni, hii inanishangaza

    Huu uandishi wa wapi??[emoji1784]
  7. cleverr

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Logistic

    Nipo mpaka wa boda ya kasumulu yani mpaka wa Tanzania na Malawi,, 0765891704
  8. cleverr

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mikopo ya Mtandaoni

    Wewe ndie uliekopa acha siasa [emoji81]
  9. cleverr

    JamiiForums Tanzania Mtaji milioni 25 - 30

    Mazao hasa, Soya beans, karanga nyekundu na maharage aina tofauti tofauti.
  10. cleverr

    JamiiForums Tanzania Mtaji milioni 25 - 30

    Ninafanya hii biashara iko vizuri sana, me hua nanunua Malawi na kuuza boda ya kasumulu.
  11. cleverr

    JamiiForums Tanzania Hakuna uchawi wa chuma ulete, ni visingizio vya watu wazembe

    Vizuri sana, me mtaji wangu nliupata kupitia boom...na baadae nkapewa support kidogo [emoji120]
  12. cleverr

    JamiiForums Tanzania Bei ya hizi TV inanitia shaka ubora wake ingwa napendaga vitu cheap

    LG na Hisense ipi ni mashine hapo....na ubora wa Kila bidhaa upoje hapo
  13. cleverr

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mazao

    Habari zenu wakuu poleni na kazi za hapa na pale, Ninapenda kuwataarifu wafanya biashara wa mazao hasa wanunuzi na wahitaji wa mazao kama Soya beans (inapatikana Malawi), karanga( nyekundu na nyeupe), Kunde, Mbaazi na maharage (aina tofauti tofauti kama sugar beans, maharage ya njano, mekundu...
Back
Top Bottom