Ushauri mwingine ni huu......kwa wale wenye marejesho ya mikopo benki usimpe hela afisa mikopo wako hata kama una muamini vipi.......na yeye ni mtu kama watu wengine anaweza kuila au kuacha kazi muda wowote ikawa umepoteza pesa.Always nenda ukadeposit mwenyewe au tumia mobile banking.
Mi natoa ushauri tu kwa wale mnaoplan kukopa either mikopo ya biashara au kazini kopeni CRDB au NMB wanahuduma za uhakika ingawa zinachukua muda kidogo ku finalize process benki nyingine zina changamoto sana
Vyama vingi tawala vilivyopo madarakani Africa vilipata madaraka toka Uhuru na vimejitengenezea utaratibu wa siri na wa muda mrefu kwenye nyanja zote kuanzia kidola,kidini,kifedha na kiutawala.Wananchi wengi wa Africa wanaaminishwa kwamba vyama pinzani ni dhaifu na havina sera na mikakati...
Naongelea upande wa tellers sio general naushahidi mtu alikuwa anafanya kazi Teller aliyesomea I.T walivyokuja auditors wakapendekeza atolewe mle kwa sababu ya profession yake ni rahisi kucheza na systems
Majukumu ya benki ni mapana kidogo na benki ni institution hata ukienda muhimbili Hospital kunawahasibu mpaka social workers.Vile vile hata benki kuna wahasibu,watu wa I.T na kadhalika hata mtu aliyesoma sociology /social work anaweza kufanya kazi benki upande wa marketing na sales maana...
Ukitaka kuwa successful banker unatakiwa uwe unahamahama,Ukiwa na experience na mabenki kuanzia manne au matano maisha yatakuwa mazuri.Usikae benki moja zaidi ya miaka miwili you will never grow na mawazo yako yatakuwa finyu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.