Recent content by clement kasanka

  1. C

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday P Funky Majani

    Daaaaaah jamaa kazitendea haki kuzitengeleza ata art,wenye awakumuangusha biti Kali kwangu ni mitungi,mikasi
  2. C

    JamiiForums Tanzania Watanzania uvivu wa kusoma mambo utatuponza,tusome katiba pendekezwa jamani.

    Watanzania saizi awavishwi vitambaa vyeusi machoni km Wakat wa mwalimu
  3. C

    JamiiForums Tanzania Madiwani wa CHADEMA kufanya mkutano mkubwa mjini Nansio kesho

    Acha umevaa wewe mtoto wa kiume watakuvisha magauni
  4. C

    JamiiForums Tanzania Madiwani wa CHADEMA kufanya mkutano mkubwa mjini Nansio kesho

    Wakati wa ukifika umefika r.I.p ccm
  5. C

    JamiiForums Tanzania Zitto aichokoza CHADEMA na kuwapa somo wanachama wake

    Kashafika omega dunia ya saiz nani anataka ujamaa,km nchi mama za ujamaa zimeshaachana na mfumo huo
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nikki wa pili aichambua katiba inayopendekezwa

    Huyoooo nicki minaji,kazoea kujisifia na kuona mawazo yake ni sahihi kuliko ya wtz tuloona wameichakachua,sishangai km ulisema baada ya mungu ni mzungu je ?kwenye Hilo
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi unaendelea kuitafuna CHADEMA

    We mjinga kwani watu wa sumbawaga na mbezi ni wachaga,hizo propaganda za ccm tumeshazizooeaa,walizusha adi udini ,
  8. C

    JamiiForums Tanzania Hamad Rashid: Zitto ataondoka na wengi!

    Pole chadema sio Mali ya mtei,mtei ni miongonii mwa waasisi wa cdma kama ilivyo Kwa nyerere ,karume ,mtikila,n.k tofautisha
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kumekucha CHADEMA, Mwenyekiti wa Wilaya Mkoa wa Arusha na Mjumbe wa BAWACHA warudi CCM

    Pole aujui cdma wanawafanya,duuh
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kumekucha CHADEMA, Mwenyekiti wa Wilaya Mkoa wa Arusha na Mjumbe wa BAWACHA warudi CCM

    Cdma. Wanaviongoz makini maswala,ya udini na ukabila,ayajaanzwa kuongelewa Leo baada ya wasaliti kufukuzwa,walianza ccm sasa amekuja wasalitti
Back
Top Bottom