Tofauti kubwa ya umri kati ya mume na mke.
Ndugu zangu, poleni na mihangaiko.
Kupishana sana kwa umri kati ya mwanaume na mwanamke ambao wanataka kuoana kunaweza kukaleta matatizo gani katika maisha yao ya ndoa hasa ukizingatia mwanaume amezaliwa 1964 na binti amezaliwa 1993.
Nawasilisha.
Ndugu zangu, poleni na mihangaiko.
Kupishana sana kwa umri kati ya mwanaume namwanamke ambao wanataka kuoana kunaweza kukaleta matatizo gani,katika maisha yao ya ndoa hasa ukizingatia mwanaume amezaliwa 1964 na biti amezaliwa 1993.
Nawasilisha
iko miaka niliishi mikoa yakigoma ,huko ndo wapo kwa wingi kwa wle wenye maji kiasi hunywa miti shammba ili kupatahayo maji wengine huchanjia kwwenye kinena na kati kati ya ------ , pia wnaume wahuko kama hautoi maji wewe huna dili na sio di li kabsisa
Kuna mwanamke nimemuowa ananiumiza kichwa sana , eti anataka kwa kila jambo afanyalo kwangu antaka apewe pesa
hiyo achilia mbalin malupu lupu mengi ne mbali na mshahara wa mwezi. nimejitahidi sana lakini nimeshindwa kwani kama hivyo ndivyo basi kima cha chini cha ni sh ngapi? sipati mechi...
nimezunguka maeneo mengi hapa bongo nimekuta kunatabia ya vijana kukaa mahali fulani fulani wakiwa pamoja
bila kujali ni wakati gani wasiku.vijiwe hivi viko hata kwenye viwanja vya mpira,fukweni,pembezoni pembezoni .je kuna faida gani kiuchumi achia mbali kijamii na kiuchumi?
nimezunguka maeneo mengi hapa bongo , nikakuta vijana wengi hupenda kukaa katika vikundi ambavyo si rasmi ,nahukaa hapo
pengine hadi majira ya jioni,je nini manufaa ya kukaa hivyo?na kama kuna gharama yeyote
Inatia uchungu kuona mamlaka huisika zinazo hangaika kutaka kujua
pato la mtanzania wanatumia vigezo vya kinagharia huku wakifumbia macho uhalisia
wa hali halisi.t.r.a wakusanye pato hilo tuone kama hatuta kuwa na maisha bora wote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.