Recent content by clemence

  1. clemence

    JamiiForums Tanzania Mbowe achunguzwe kwa vifo vya Daniel John na Aquilina

    mkuu mjumuishe na mkurugenzi wa kinondoni, kwani bila figisufigisu za viapo vya mawakala hayo maandamano yasingekuwepo
  2. clemence

    JamiiForums Tanzania Muro: Mhe. Msigwa heri ungekaa kimya CCM ndiyo imelipa gharama ya ndege kutoka Dodoma kwenda Kenya

    Kukaa kimya si ujinga, tumeaswa suala la Lisu tusilifanyie siasa, sasa naona wengine wanatafuta kiki, ngojeni basi kwanza hata apone basi. Watanzania tusipoteze utu wetu kha!
  3. clemence

    JamiiForums Tanzania Tanzania Maajabu Hayaishi

    Mi nilijua maajabu labda hapo ni kutoka kwenye kumiliki marcopolo bus mpaka kuja kuanza na coaster labda. Ambayo nayo si mbaya tunapoanzia kuliko kushindwa kabisa
  4. clemence

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe asema Rais Magufuli ameliingizia taifa hasara ya bilion 36 tangu awe Rais

    Wakati mwingine tujikite kwenye hoja mkuu kama hamna la kuchangia unakaa kimywa, mbona Mwanakijiji hapo juu kachangia vizuri tu bila mhemuko
  5. clemence

    JamiiForums Tanzania MwanahalisiOnline wachukuliwe hatua kwa kuwachonganisha UVCCM na viongozi wa dini

    (UVCCM yaivaa rasmi Chadema kwa kushindwa kufanya Maandamano ya UKUTA Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), umewavaa viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kile walichodai kuendesha siasa za maigizo baada ya kushindwa kuzindua Operesheni UKUTA, Septemba 1.) Siasa...
  6. clemence

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kutoka Ufipa: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari, maandamano ya UKUTA yaahirishwa

    Mbona kama mashabiki wa ccm ndo wamekasirika UKUTA kuahirishwa? Wanapenda vurugu eeh
  7. clemence

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma kuhusu hali ya Mbunge Joseph Michael baada ya kupata ajali

    2015 nadhani itakuwa ni 2016
  8. clemence

    JamiiForums Tanzania Mtikisiko: Maelfu ya wapinzani watamani kuhamia CCM

    :(:(:(:(:(
  9. clemence

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Ni Tanzania pekee mwanafunzi anapata division 4 kidato cha nne na anaenda chuo kikuu

    Mkuu kama haujaelewa si lazima uchangie ni busara pia kuacha wenye uwelewa na jumbo husika wachangie kisha pitia michango yao halafu hakika utapata kitu na hutokuwa na haja ya kuchangia na kama utachangia utachangia kitu cha kuelewa
  10. clemence

    JamiiForums Tanzania Naibu spika atoa ufafanuzi kuhusu adhabu zilizotolewa jana

    Hata asipopunguziwa kibinadamu anajisikiaje au wewe ukitetea ujinga unajisikiaje kwa mfano
  11. clemence

    JamiiForums Tanzania Wengi hawayajui haya

    Nimeyala sana nikiwa Tukuyu-Mbulongwe
  12. clemence

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa Mlandizi

    Shamba la ekari tatu linauzwa lipo Kidai Mlandizi, bei ni million tisa halina mazao.
  13. clemence

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Mbona kajibu poa tu, ulitaka ajibu unavyotaka wewe?
  14. clemence

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Mna hamu ya kuhamia ukawa ila sasa mtaonekanaje na waliowapa ajira ya kuandika mitandaoni
Back
Top Bottom