Recent content by Clemence Baraka

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alipo-deal na Kenya alionekana anaharibu mahusiano, mmeona sasa?

    Heshimu majirani zetu. Tunahitajiana. Dosari ndogo ndogo zinazungumzika bro.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hivi first gentleman akiiona hii picha anajisikiaje?

    That is acting my friend. Katika kuact mambo hayo ni ya kawaida. Acheni ushambaaaaa!!!!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kinachomtesa Rais Samia ndicho kilimtesa Mzee Mwinyi

    Mbuga ziko Tanzania wanaokuja kutalii wako wapi ndugu. Au ulitaka awalenge Tanzania kwenye hiyo royal tour. SIJUI BWANA unavyofikiri.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mapato ya Filamu ya Royal Tour kule AMAZON ni kufuru, kuingizia Tanzania zaidi ya TZS 1.5 Trilioni kwa mwaka

    Angalau 25% iende kwa sterling wa movie kutenda haki
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kutokana na kuwepo kwa taarifa mbalimbali kuhusu ndoa ya Mrema, Halima avunja ukimya

    KILA BINADAMU MUNGU AMEMPANGIA NJIA YAKE YA SAFARI YA MWISHO.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Rais Samia kufundishwa jinsi ya kudhibiti hisia zake anapoongea/anapohutubia

    H HATA CHADEMA WAKIPEWA NCHI NA HII KATIBA YA SASA HAWATAIBADILISHA. WAIBADILISHE ILI HIYO MPYA IWAONDOE HARAKA MADARAKANI??
  7. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sensa haitauliza kuhusu Dini ya mtu

    UMAARUFU WA DINI SIO WINGI WA WAUMINI WAKE. UMAARUFU WA DINI HUTOKANA NA UKUBWA WA MAMBO YAKE KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA KIJAMII.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

    HUJUI UNALOZUNGUMZA. GENTAMYCING MTU UNAYEHESHIMIWA SANA JF LAKINI UNGEVAA VIATU VYA MWENZIO HUNGEYASEMA HAYO. HUZIJUI VILE VILE SIASA ZA KIAFRIKA. UMESAHAU MAPEMA TULIKOPITIA MIAKA SITA ILIYOPITA. VERY SORY.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameonesha udhaifu mkubwa; sasa itaonekana kesi dhidi wapinzani zina mkono wa Serikali

    Nakuunga mkono ila unaposema mama kaamua kupiga goti na kulamba miguu ya Mbowe hilo ni tusi. Kumbuka rais yupo bado madarakani na Mbowe ni binadamu hivyo kutenda kosa baadae ni jambo linalowezekana.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu auponda mpango wa kutumia viberenge kupanda Mlima Kilimanjaro

    KUPANDA MLIMA SIO LUXURY. NI ADVENTURE AMBAYO NI CHALLENGING NA KUHITAJI USHINDI
  11. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu auponda mpango wa kutumia viberenge kupanda Mlima Kilimanjaro

    Nenda na helikopta au machela.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mradi wa LNG: Tukicheza Vizuri wakati huu ni hakika Umasikini tutausahau Tanzania na Samia anaweza kuwa Rais Bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania

    Mwenzako anaongea juu ya opportunity ya Tanzania kutokana na mahusiano ya Urusi na Ulaya. Mimi namuunga mkono. Hiyo ni biashara. Zaidi nataka nijue usafirishaji wa gesi yetu kwenda Ulaya utakuaje.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa za Umeme. Je, TANESCO iwafurahishe wanyonge na kuua Viwanda?

    Umeandika vizuri lakini tuaminije taarifa yako? Wewe ni nani kwenye mamlaka ya nishati? Mkuregenzi Tanesco? Katibu Mkuu wizara ya Nishati? Au!!!! Ingependeza taarifa hii nzuri ikaletwa kwetu na wahusika ili ituconvince siku zijazo tukifanyiwa mgao tuache kulalamika kwani tutarizika umeme mwingi...
Back
Top Bottom