Recent content by clecia

  1. clecia

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    kwa lolote litakalokua au utakalo jifunza naomba unishrkshe na mie nami pia ni mwanafunzi ninaytak kujishughursh na kilimo hcho na mim ngoja niangalie msaada mwingne e
  2. clecia

    JamiiForums Tanzania Tajirika na Tikiti ungali bado kijana

    naomba namba za simu, mimi mwenyew npo Dar maeneo ya Chuo cha Kampala
  3. clecia

    JamiiForums Tanzania Tajirika na Tikiti ungali bado kijana

    Mkuu naezaje kupata hizo nondo za kilimo cha tikiti
  4. clecia

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    please add me # 0654 759133
  5. clecia

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya Kujifunza Web Hosting

    Habari zenu ndugu zangu. Ninajitokeza katika forum hii ya sayansi kuomba msaada kwa wale wote wenye utaalamu na mambo ya Web Hosting. Naombeni mnisaidie ndugu zangu juu ya hilo jambo.
  6. clecia

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya Web Hoster

    Wapendwa habari zenu. Nilikua ninaomb nipate msaada kwa wale wenye utaalamu na Mambo ya Web Hosting activities,nilikua nataka nijifunze,naombeni sana wandugu.
  7. clecia

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

    r i p broth
Back
Top Bottom