Recent content by Clay enock

  1. C

    Ni wakati sasa Twaha Kiduku azichape na Mwakinyo

    Hayo ndio mawazo mazur wengne mawazo yao ajabu kweli mbaka unashangaa wanaubongo kweli.! atafute mapambano ya nje huko ili yampe nafasi zaid yakujitangaza na sio mnang'ang'ana apambane na mwakinyo ninyi ndio mnaowalemaza mabondia tumieni nafasi hiyo kumuhamasisha atafute mapambano zaid ya inje...
  2. C

    Imagine huyu ni Polisi na huyu ni Raia

    kesho kwako hakuna aijuae kesho
  3. C

    Rais Magufuli hakuwa dikteta bali vyama vya Upinzani havijui maana ya Demokrasia na wajibu wao

    Hakika kila 1 namtazamo wake.kama wew mtazamo wako ni huu!
  4. C

    Mo Dewji na Barbara wam-unfollow Diamond na Manara

    wew nikati ya viumbe msio jielewa.sasa hapa unasema nin?
  5. C

    Sijashangaa wala kushtuka Mbowe kukamatwa kwa tuhuma za ugaidi

    Alaah kumbe unaelewa unaweza kutusaidia kwenye uchunguz
  6. C

    Tundu Lissu: Wanaosema nahamasisha maandamano nikiwa Ubeligji,Hivi kwani mimi napenda kuwa huku, nilifikaje huku?

    Nibora ninyi hata huko ulaya mnaishi je kwasisi makapuku? Mwana harakati anajumuika sio matamshi tu.tena akiwa huko ulaya hayo sio mapambano yakupasa wew naviongoz wako wachama muwe mstali wambele. Sio maneno bila vitendo.
  7. C

    Kwa hali hii ya Kigoma, tujiandae kuzika

    kwamajibu haya! Je na wew hauja kariri?
  8. C

    Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

    sivizur kuongea tu, kwasbbu umepewa mdomo utumie vizur kujenga.
  9. C

    Kamati ya Mambo ya nje Marekani yataka Tanzania kuacha kukandamiza Upinzani na viongozi wake

    Hao viongoz unao waamin ww ndio ambao hawaaminiki.
  10. C

    Wasanii wanafirisika kwa manunuzi ya kishamba kama Rolls Royce

    Hayo nimawazo yamtu maskin pekee ndie anaweza kusema hivyo unajua mfuko wake unashngap???
  11. C

    Uzoefu kutoka USA: Kodi mbalimbali zinazotozwa nchini Marekani

    Vipi anatokea kiumbe 1 anakomba b 1 hafanywi chochote huo niuzalendo sio?
  12. C

    Diamond Platnumz na manunuzi makubwa anayofanya

    Unaweza kutuambia nan ana management nzur labda?
  13. C

    Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

    Siukaushe! yanin kukoment kama hayakuhusu
  14. C

    Toka Harmonize aondoke Wasafi nyimbo za Diamond zimekuwa na tungo za kawaida sana kama sio mbaya. Ni kweli Harmonize alikuwa mwandishi tegemeo?

    Nasubutu kusema unachembe zaushbik wakipumbav sana kwasababu hakuna hoja ya msing ulio iongea hapa zaid ya ushabik wakipumbav jitafakar unasemea nyimbo zenye ujumbe mzuri sasa tazama cm yako je kunanyimbo zenye ujumbe mzur kwenye cm yako ndipo utakapo lipata jibu ya kuwa wew nimtu gan.
  15. C

    Views za Harmonize YouTube kupanda ghafla zinatia shaka

    Hata upande wa mond uwe unapost hivohivo
Back
Top Bottom